Wanangu leo nina stress kibao
Yaani akili yangu haiko sawa
Wanangu kichwa kina vitu kibao
Yaani naelekea kupagawa
Baba mwenye nyumba
Hela ya kodi nishaleweya
Hataki maelezo yaani amenitimua
Mubebe mchumbaa wangu wameniibia
Kisa sina helaa yaani amenikimbia
Basi mungu baba nikopeshe milioni kumi nikifa ntakuja nayo
We sir God nikoposhe milioni tano nikifa ntakuja nayo
Ah, hizi dharau zinanichosha
Na ndo maana Mungu wangu nakukopa onah!
Mwajuma juzi alisema atakuja ghetto (hakujaa)
Hakuja mchizi nikala detto (dharau)
Amenifanya kama kichekesho (hakuja)
Kanigandisha stendi fenichaa keko
Basi mungu baba nikopeshe milioni kumi Nikifa ntakuja nayo
We sir God nikoposhe milioni tano nikifa ntakuja nayo
Oh-oh-oh-oh-oh-oh
Weka! Aya twende muone maajabu yake
Anaogopa mende ila anapenda kifo chake
Aya twende muone uyo maajabu yake
Anaogopa mende ila anapenda kifo chake
Aya twende bingili chali chali
Kifo cha mende chali
Mama bingili chali chali (oh-oh-oh)
Mpaka juu ya dali
Kwanza mi mtoto wa watu sina nuksi mteke mteke
Mi nikikupenda kwanza lazima unenepe
Mi mtoto wa watu sina nuksi mteke mteke
Mi nikikupenda kwanza lazima unenepe
Kama unabisha njo tu date (uone)
Njo tudate (uone)
Kama unabisha njo tu date (uone)