Kwahiyo ndo unadhani labda ningelia
Ulivyoniacha au labda ningeshindwa kula
Au labda unadhani ningekunywa sumu
Ulivyoniacha au labda ningeshindwa kulala
Kwanza lihusiano lenyewe lilipooza
Auna jipya style mpya umedoda
Maajabu hauna ndani pumzi kisoda
Nijinyonge kisa we unawazimu umerogwa
Aiy ndo maana usiulizwe why uliachwa
Haujui kulamba lolo, haujui kulamba lolo
Usiulize kwanini uliachwa (haujui kulamba lolo)
Haujui kulamba lolo
Kwanza alafu hata haiyumi (mbona hainikereketi)
Mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti)
Alafu hata haiyiumi (mbona hainikereketi)
Mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti)
Ah eh-eh eh-eh! Haya!
Uzuri wako wa filter unakudanganya
Umeniacha juzi jana nimepata bwana
Tena mtu mwenye hela alafu tunaendana
Tushakula viapo mi nae atuwezi achana
Ona kwanza kila siku unataka mchezo, kwani huchoki kenge wewe
Na ukinyimwa tu unanuna paka upewe
Kibonge mayai upigi msamba paka ulewe
Ety haunipendi hainihusu utajuwa mwenyewe
Aiy ndo maana usiulizwe why uliachwa
Haujui kulamba lolo, haujui kulamba lolo
Usiulize kwanini uliachwa (haujui kulamba lolo)
Ah! Mbona lolo
Kwanza alafu hata haiyumi (mbona hainikereketi)
Mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti)
Alafu hata haiyiumi (mbona hainikereketi)
Mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti)
Ah eh-eh eh-eh! Weka!
Wanangu tuwarudishe shuleni
Masela shuleni, tuwarudishe shuleni, ah JM
Twende mkanda mkende mkindi mkondo
(Utakufa vibaya wewe) Maaama!
Kwanza mpamba mpembe mpimbi (uongo)