Heeeh mmmh
Mpeni taarifa nnaeshea nae
Mwambieni bado nipo nipo sanaa
Hadi kibanda nisha jenga nae
Na tunaelekea kuzaa na wanaa
Asa nimuache ntaishije mjini
Nimuache nimuachie nanii
Siendi popotee
Asa ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa)
Ampende pekeake ye amekua babaake (si hapo sasa)
Eti ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa)
Ampende pekeake ye amekua babaake (si hapo sasa)
Ah-oh-oh-oh, oh-oh-oh
Ah-oh-oh-oh, oh, hm-eh, hm-oh, hm-eh
Ukila masaki si twala ostabey
Koko mishikaki silva ocean dubei
Analipa vikodi analipa kodi
Kaniagizia kindinga kiranger voggie
Tatizo lako shoga chumbani haunogi
Kutwa kifo cha mende haujui ata dog
Kwako akileta mafuta abaya mitandio
Mie pia kwangu supa miamala misalio
Tutabanana hapa hapa tutabanana
(Ah-ah-ah) kama leo kwako kesho kwangu twapokezana
(Oh-oh-oh) tutabanana hapa hapa tutabanana
(Ah-ah-ah) Kama subian mie makata tutajuana
Asa nimuache ntaishije mjini
Nimuache nimuachie nanii
Siendi popotee
Asa ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa)
Ampende pekeake ye amekua babaake (si hapo sasa)
Eti ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa)
Ampende pekeake ye amekua babaake (si hapo sasa)
Ah-oh-oh-oh, oh-oh-oh
Aya sasa ukipanda mi nashuka ka daladala
Eeh na ukijitia kususa wenzako twalaa
Eeh ukipanda mi nashuka ka daladala
Ukijitia kususa wenzako twalaa
Na ukisusa susa susa (wenzako twala)
Si una susa susa susa (wenzako twalaa)
Thubutu kususa susa susa (wenzako twala)
Eh jitie kususa susa susa fyyuuu