Paroles de la chanson USHAMBA par Harmonize
Kondeboy
Weeeeeeeee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa uo ni eeeeh
Huo ni ushambaa
Pesa ya kulipa gesti unayo
Eeeh nyumbani familia inapiga miyayo eeeh
Mmh yanafurahisha ufanyayo
Eeeh huo ni ushamba
Inaboa kudadadeki
Dereva wa uber hataki
Kuova teki eti kisa pesa haiongezeki
Eeeh huo ni ushamba
Yupo kitandani kajilegeza
Eeh mi nimeshapaka vya kuteleza
Eeh eti bebi leo simba wanacheza
Eeeh huo ni ushamba
Husband material kutwa unalike picha za makalio
Vya wenzako usijipe matamanio
Eeh huo ni ushamba
Ashura wa mbagala
Huna pakula pakulala
Komenti ndefu picha za kajala huo tunaita
Eeeh huo ni ushamba
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa uo ni eeeeh
Huo ni ushambaa
Mmmh malejendi si wamerudisha vita
Wanahofia eti jeshi anawapita
Bila sababu wananikunjia ndita
Eeh huo ni ushamba
Limechoka acha nilikalagaze
Halina meno ilo simba zeee
Likila demu lazima litangaze huo tunaita
Eeeh huo ni ushamba
Hivi dunia ndo ipo kikomo
Eeh maana hadi waganga wanapiga promo hadi insta
Eeh wana page za kujipigia domo
Eeeh huo ni ushamba
Amepanga chumba huko vingunguti
Yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti
Mmh vipi akikupiga kibuti
Eeeh huo ni ushamba
Aaah konda wa daladala
Umenipitisha bahati mbaya nililala
Unataka nilipe tena ni busara
Eeeh huo ni ushamba
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa uo ni eeeeh
Huo ni ushambaa
Kaja na vumbi uso umefubaa
Anadai kapaka poda
Eeh kaniomba nauli ya uber
Eeeh huo ni ushamba
Yule namuona kapanda boda vitu vingine haviji na ubongo
Eeh punguzeni sifa wana sio mchongo
Eeh demu humjui unampakia mkongoo
Eeeh huoni ushambaa
Yeye ndo kalewa kuliko wote
Anaimba nakucheza ngoma zote
Wakati wakulipa bili sina chochote
Eeh huo ni ushambaa
Meno yote nje anachekelea
Ahsante bebi nimepokea
Hasa mbona haujatuma na yakutoleaa
Eeeh huo ni ushambaa
Kumepambazuka alfajiri
Tupo club wana anasema subiri
Yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah
Eeeh huoni ushambaa
Tunaishi kwa nyumba ya kupanga
Mwenzetu unatuletea muganga
Unataka wote tuonekane wangaa
Huo tunaita eeeh huo ni ushambaa
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa uo ni eeeeh
Huo ni ushambaa
hehehehee hasa
Kama kama tumekutana mchana unasema haujala
heheheee
Asubuhi si ungeniomba mswaki wewee
Hehehe hahaha hahahahah
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa uo ni eeeeh
Huo ni ushambaa
they call me kondeboy no 1 jeshiiiiiii