1 Sijalewa LyricsHuyo Ex Wakunifanya Ninywe Nilewe Mbona Simuoni (Simuoni)
Mawazo Ya Kunifanya Ninywe Nilewe Me Siyaoni (Siyaoni)
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
Mmh Thanks Baba God For The Blessing Am Living My Life No Stress
Music Is Just My Dream Am Chasing Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat Piano Za Kisasa Na Tbt
Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi
Leoooo
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi Tuu
(Aeee Aeee)
Siku Nikilewa Mtajua Mbona Mtajua
Mmh
(Aeee)
Kuna Mtu Hichi Kichwa Anakisumbua Siku Iyo Mtamjua
Mwenzenu Pombe Nishaacha, Kuvuta Nishaacha
Ila Mapenzi Siwezi Acha Japo Yananiumiza
Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
Mmh Thanks Baba God For The Blessing Am Living My Life No Stress
Music Is Just My Dream Am Chasing Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat Piano Za Kisasa Na Tbt
Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi
You might also likeLeoooo