Video Hapendi » Rusty Lyrics | Musica Lyrics

Ver Video y Lyrics con la música del Genero Lyrics más popular de Rusty y otros artistas en línea. Disfruta de las mejores canciones de 2024 en LetrasFM de música en línea. ¡Encuentra tu canción favorita y escúchala en cualquier momento y en cualquier lugar!

Video Hapendi » Rusty Lyrics

Rusty - Hapendi Lyrics


Hapendi Song Lyrics
Hapendi by Rusty Intro
Squad Safi
Soundland Records
Aaaaah…Aaaaah!

Chorus
Hapendi kunicheki mi nikilialia
Hapendi kunicheki mi nikiumiaumia
Hapendi kunicheki mi nikiyajutia
Aaaaah…Nikiyajutia
Niki Nikiyajutia x2

Verse 1
Life, ikienda enda astray
Hapendi kunicheki cheki niki suffer pain
Nikiwa broke huwa ye ana make it rain
Sipati zero kwake always, nina gain
Sifanyi secular coz now am born again
Juu yetu msalabani Christ ali suffer pain
Tupate kuepuka mitego za shetani
Tupate ku sevika kutoka kwa madhambi

Verse 2
Saa zingine, vitu zenye si hufanya
Huwa zinakasirisha Mungu TENA SANA
Kutenda dhambi, pia hata na kuhanya
Zote hizo, mimi nasema hapana
Kutia chumvi, pia na kutukanana
Hata kutenda maovu yasiyo na maana
Ulevi mwingi, wamama kusengenyana
Zote nasema hapana zote nasema hapana

Verse 3
Sasa natangaza, captives all free
In the name of Jesus, the blind now fi see
Miaka mingi shetani nakupa bye bye
Kwaheri ya kuonana vako zako ni za lie (lie)
We ni liar, we ni Ibilisi mkubwa
Kuwafanya wanadamu kuwa kama wafungwa
Leo natangaza haya yote hadharani
Leo natangaza vita dhidi ya shetani

Verse 4
Hapendi kuniona mi nikilialia
Tangu kitambo kwa dhambi niliingilia
Lakini bado, MOLA umenishikilia
Ndio maana, kwako nimekimbilia
Nimeokoka, Kwa dhambi Mimi sitalia
Unani protect, yaani waniangalia
Neno lako, forever nitashikilia
Shetani hanioni kwako nimekwamilia

Hapendi » Rusty Letras !!!