Video Angalia Juu » Kiche Legend Lyrics | Musica Lyrics

Ver Video y Lyrics con la música del Genero Lyrics más popular de Kiche Legend y otros artistas en línea. Disfruta de las mejores canciones de 2025 en LetrasFM de música en línea. ¡Encuentra tu canción favorita y escúchala en cualquier momento y en cualquier lugar!

Video Angalia Juu » Kiche Legend Lyrics

Kiche Legend - Angalia Juu Lyrics


CHORUS
Shalom kwa mademu walioniangalia kwa chini
Shalom to the Mbwigas walioniangalia kwa chini
Shingoni sina kitu so hawakunithamini,
Kichwani ndo iko madini, the sky is the limit
Angalia Juu, (heeey) Angalia Juu, (so fly can you see me now) *3

Verse 1
Wanaulizana who let the genie out the bottle
Coz since I been out its bottle after bottle
Bottle after bottle after Bottle
Si unajua mtoto wa mbwa tena nisha hit the lotto
Champagne for all the pain the world bring
Liu Kang for hizi kicks that I came in
And I came in with the A team, Mbwiga we made it, Angalia juu AMEN
800 Thou na kaka zangu twagawana,
Wahenga walisema undugu si kufanana ni kufaana
Njoo ujiunge na chama, ujifunze kuona kwa urefu na mapana
Bapa juu ya bapa juu ya bapa
Chapaa juu ya chapaa, huna chapaa chapa lapa
Ma brothers got my back kama ile logo ya kapa
Kwa mademu wote cake hii leo ndo birthday ya Mwana.

CHORUS
Shalom kwa mademu walioniangalia kwa chini
Shalom to the Mbwigas walioniangalia kwa chini
Shingoni sina kitu so hawakunithamini,
Kichwani ndo iko madini, the sky is the limit
Angalia Juu, (heeey) Angalia Juu, (so fly can you see me now) *3

Verse 2
I told talk to the hands, ni crazy Muppets
Spika zangu ziko deep, deeper than ya pocket
Cheki wako shot, wamegusa socket
Remember you blew me up, you wanna blow me get a trumphet
Kwa sasa nawakilisha wakili wake wakala
Mpesa ni hii wallet imetuna kama Kajala
Majalala sikuwa hata na dala ya dalalala
Asante sala Mbwiga now ninamake dollars dollars
Doors open up I go to different stages, the legs open up yellow pages
Snitch Mbwigas walk away, yellow pages
Kila kutwa kula chips kwenye kazi domo zege
Tunachoma Barberque Tunachoma Barberque
Drinks pembeni, Pembeni swimming pool
Tunachoma Barberque Tunachoma Barberque
Music so loud, you know how we do

CHORUS
Shalom kwa mademu walioniangalia kwa chini
Shalom to the Mbwigas walioniangalia kwa chini
Shingoni sina kitu so hawakunithamini,
Kichwani ndo iko madini, the sky is the limit
Angalia Juu, (heeey) Angalia Juu, (so fly can you see me now) *3

OUTRO
Icy in the house watch your mouth
Agogo in the house watch your mouth
Rocky in the house watch your mouth
Mswati in the house, get you best get down
Ronny in the house watch your mouth
Kiche in the house watch your mouth
Team Mbwiga in the house watch your mouth
909 in the house, we own this house

Angalia Juu » Kiche Legend Letras !!!

Videos de Kiche Legend

Esta web no aloja ningun archivo mp3©LetrasFM.Info 2025 Colombia - Chile - Argentina - Mexico. All Rights Reserved.

Musica Online, Escuchar musica online , Musica En Linea, Musica en linea gratis, Escuchar Musica Gratis, Musica Online 2025, Escuchar Musica

Musica 2025, Musica 2025 Online, Escuchar Musica Gratis 2025, Musica 2025 Gratis, Escuchas, Musica de Moda.