×

Nani Feat Zuchu

D Voice

Eeh zombie acha iyo!

He one two one two eh maiki cheki (maiki cheki)
Tunajump jump eh kama kitenesi
Eeh! Kama kalambwanda nda nda kalambwasi
Na kama huna msambwandaa usiingie kati (aye)

Alulue alulue (alulue alulue)
Aah kama mtu hachezi mzabue (tumzabue tumzabue)
Sema alulue alulue (alulue alulue)
Kama mtu hachezi tumtoe (tumtoe tumtoe)

Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba

Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Mafta ta mafta ta mafta ta
Yamemwagika yamemwagika yamemwagika

Mpaka chini mpaka chini mpaka chini
Aaamina amina na mwajuma
Wanaringa hawa kima

Kumbe wanauzaa
Usiseme hivyoo
Kilode kilode kilode

Watoto wadogo wanataka nipotee
Haa! Labda nifukiwe chini wala wasiwaongope
Hee! Shindo langu mimi mjikusanye wote

Haya sema shkamoo dada (shkamo dada)
Shkamoo kaka (shkamo kaka)
Mniamkie shkamoo mama (shkamo mama)
Shkamoo baba (shkamo baba)

Alulue alulue (alulue alulue)
Ukiona hachezi mzabue (tumzabue tumzabue)
Sema alulue alulue (alulue alulue)
Haa! Kama mtu hachezi tumtoee (tumtoe tumtoe)

Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba

Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Aah twende mafta taa mafta taa mafta ta (yana ninii)

Yamemwagika yamemwagika yamemwagika (eti mpaka wapi)
Mpaka chini mpaka chini mpaka chini (mama)

Artista: D Voice



Mas tocadas

Escuchar D Voice Escuchar