Kwanza mapenzi safari ujana ni
Maji ya moto walinenaga zamani
Pili tumetoka mbali kwa matatizo
Changamoto tuvisa visa fulani
Oooh tatu kidonda chako kwangu
Maradhii
Moyoni usononekapo kwangu
Simanziii
Kwa mahaba ulionipa nimenogewa
Vurugu patashika ahh punguza
Kidogoo
Na mengine kadhalikaa mtoto
Si unanielewaa
Apo apo uliposhika ukiongeza
Kidogooo mmmh mwenzako ntaumiaa
You are my number 1
My sweety sweety number 1
My baby oooh you are my number 1
My darling, my number 1
Oooh roho yangu mama, my number 1
Na nina wivu sikatai maana uchungu wa mapenzi naujuaaa
So usije kunilaghai ukaacha kuzama ukanizingua
Na nina wivu sikatai maana uchungu wa mapenzi naujua
So usije kunilaghai mwenizio
Naogopaaaa
Now show me how they do
Gololoooo aah golloolo aah gololosa
Oooh baby show me how you do gololo
My sweety sweety my number 1
My baby ooh you are my number 1
Ooh darling you are my number 1
Ooooh roho yangu mamaaa
Ahhh oooooh ooooh baby
You are, oooh baby your are
Now show me how they do
Ngololo ahh ngololoo ach ngololosa
Aghhhha aikoloo
Na watuache tulale