Paroles de la chanson Ndombolo par Alikiba
Asa mambo bado, King's iko gado
Cheza utavyo, Mashuti kama Ronaldo
Wenye kulewa wapo kwado, mziki upo kwa rohoo
Najionaga komando ukonga sasa ipo juu
We unachezaje (Ndombolo)
Inama inuka (Ndombolo)
Usivunje mgogongo (Ndombolo)
Ndo ndo (Ndombolo)
Ndombolo ya solo
Kwani we unachezaje
Hii ngoma hamkai
Oh Mamaamm anachea ndombolo
Tena kainama, itatoka tomorrow
Domo zito mimi nabwabwaja (nabwabwaja)
Nabwabwaja (nabwabwaja)
Mimi nabwabwaja (nabwabwaja)
Domo zito mimi nabwabwaja (nabwabwaja)
Mimi nabwabwaja (nabwabwaja)
We unachezaje (Ndombolo)
Inama inuka (Ndombolo)
Usivunje mgogongo (Ndombolo)
Ndo ndo (Ndombolo)
Ndombolo ya solo
Kwani we unachezaje
Hii ngoma hamkai
Baby you my girl, oh baby youre girl
Baby nipe more nilishaojeshwa nipe more
Wanirusha roho, umeshinda ume-win ee
unipa uchoki najiuliza wewe mtu au mashinee
We unachezaje (Ndombolo)
Inama inuka (Ndombolo)
Usivunje mgogongo (Ndombolo)
Ndo ndo (Ndombolo)
Ndombolo ya solo
Kwani we unachezaje
Toa umandee
Hii ngoma hamkai