Paroles de la chanson Wazungu par ABBAH
Kwanza nishadata kwako umenitoa akili
Ongeza makachumbari na mapili pili
Kwako mi nawahi viwili wili
Nimepiga suti na tai tutoke wawili
Baby girl you know
The way you whine your waist like you know
Me tatua body mixer miguno
Na unanikosha ukisakata uno uno uno
The body tight biggy wasumo